Hivi hatuna helicopter za ku-search juu hapo kwenye msitu kama zile wanazotafuta simba?Mwanafunzi anayefahamika kwa jina la Joel Mariki (14) anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Bagara iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara ambaye alipotea Jumamosi ya Septemba 14, 2024 katika Mlima Kwaraa, amepatikana akiwa hai.
CC: WEPESI TV
Hivi hatuna helicopter za ku-search juu hapo kwenye msitu kama zile wanazotafuta simba?