Imeripotiwa kuwa mwanafunzi wa kike kutoka shule ya KIBAKWE wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ameshindwa kufanya mtihani wa VII. Hii ni kutokana na kupewa ujauzito na mwalimu wake mkuu. Habari zinasema mwalimu huyu yuko mikononi mwa vyombo vya sheria. Tunahitaji hatua ya kindhamu katika utumishi zichukuliwe.
Na asitoke kabisa.Kuna umuhimu wa kutoa kifungo cha maisha kwa mabazazi kama hawa.