Mwanafunzi atuhumiwa kuua mwenzake chuoni

Kile kitobo chenye lastic ndio kikufanye Hadi hatua ya kuua mwenzako hivyo
 
Huyo aliyekimbia labda aende akaishi maporini maisha yake yote, ila akisema akarenew line ya simu tu, anadakwa papo hapo!
Hiyo ilikuwa zamani,,lakini baada hata ya watu wa kawaida wenye makosa ya kawaida kama kukosea kutaja takwimu,nao wananaswa kwa style hiyo,,
Watu wengi wanazidi kuwa aware kua,electronics ni no go zone iwapo umeharibu ,so mtu ataishi tauni off the grid,
Siku hizi watu hata picha hawaweki mtandaoni
 
Akanyee debe hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…