Mwanafunzi First year kafariki leo tar12 Mkwawa constituent clg of Dar

Si mwanafunzi,au Maana ya Education forum nini,Punguza Bangi za Chooni
 
Poleni sana, pumzika kwa amani Dada yetu

zahanati siku 10? Walikuwa wanafanya nini? Wameua dada yetu, zahanati ni sehemu ya kupewa huduma ya kwanza na kupumzishwa. Huu ni upuuzi, huyo clinical officer anajua kwamba ametenda kosa?
 
Yaani wamefanya makosa mana wangempa rufaaa
 
Lady N,Thanks Tumempeleka Mufindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…