Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12.
Mahakama imemuamuru mshitakiwa huyo kumlipa muhanga fidia ya Shilingi laki 5, kwa madhara ambayo amemsababishia mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Mahakama imesema mshitakiwa huyo alitenda kosa hilo kati ya mwezi Agosti na Novemba, 2023, huko Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti.
Source kwa hisani ya:
View: https://www.instagram.com/p/DAa39nCMksF/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==