Mwanafunzi kufanya kosa la utapeli wa mtandao

Mwanafunzi kufanya kosa la utapeli wa mtandao

matics

Senior Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
133
Reaction score
80
Kuna dogo lilikuwa na cm ya rafiki yake likapigiwa simuna matapeli wa mtandao kuwa katume pesa kwa wakala mwambie kaka ndo kanituma na hyo wakala tunafamiana, nae akatuma kumuomba dogo hela hana, jamaa kamuweka ndan,sasa nauliza hivi kosa hilo tukienda mahakamani anaweza fungwa, wanasheria mnisaidie ela yenyewe ni 200000.
 
Kuna dogo lilikuwa na cm ya rafiki yake likapigiwa sumu na matapeli wa mtandao kuwa katume pesa kwa wakala mwambie kaka ndo kanituma,na hyo wakala tunafamiana,nae akatuma kumuomba dogo hela hana,jamaa kamuweka ndan,sasa nauliza ivi kosa hlo tukienda mahakamani anaweza fungwa,wanasheria mnisaidie ela yenyewe ni 200000,,
Katoe laki mbili ya watu!.

Ndiyo, ni kosa. Katumia jina lako na ukaribu wako kuhalalisha wizi wake.

Ndiyo ni matapeli. Lakini lazima uthibitishe with no doubt kwamba ni matapeli kweli. Jambo ambalo ni gumu sana.

Achana na mambo kama hayo. Utaangukia pabaya.
 
Haaa,ko nimuwah dogo kabla mambo hajawa magumu,mm nilijua kwa kuwa ni mwanafunzi,hawezi fungwa,lohh,
 
Back
Top Bottom