Mwanafunzi mpya Chuo Kikuu ajinyonga(1st yr)

The best years of your life are the ones in which you decide your problems are your own. You do not blame them on your mother, the ecology, or the president. You realize that you control your own destiny.
Albert Ellis
 
Sasa huo mkopo kama alipata awe allocated mwingine manake yeye kaamua kugraduate kabla.
apumzike anapostahili (kama ata all kuna pumziko)
 
alighafirika nini hadi akajinyonga? kuna sababu. alale mbele ya shetani peponi

m2 wangu ucjione ni mwema sana omba your ending in this world 2 be good.
 
Du,pole wafiwa.ila ni nafasi hiyo ya chuo ndo nafikiri nitaipataje as kuna ndugu hapa hajapata kokote!
 
Ktk maisha tunapita nyakati nying tofauti tofauti, wakati mwingine unawaza kwanini nisife kwa haya yananipata, LAKINI SIJAMUONA MFARIJI WA AJABU KAMA YESU, TUSEME TUSISEME MIM NAMSHUHUDIA MAANA KAMA SIO YEYE UWENDA NINGEKUWA MAREHEM. Thank You Jesus
 
Siangevumilia tu hadi 2015 aone Rais anatoka mkoa wao.
 
Du kama alikua amepata mkopo si wampatie mtu mwingine mwenye sifa hako kamkopo akapige book
 
Em watu wawe wanajaribu kufuatilia zaidi, kukuta tu mtu kajinyonga hua si kinyujinyuji, kujinyonga swala jingine hilo, kesi kama hizi ati kisa unakuta ka barua, ka kanyongwa afu mtu akamuwekea hiyo barua? Kifo sio kitu cha kuchukulia easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…