Mwanafunzi MUCCOBS Apoteza maisha kwa kipigo

R.I.P brother,poleni jirani zetu wa muccobs Mungu awatie nguvu.Marehemu alilazwa icu hapa KCMC ila hakuweza kuzungumza chochote.

Ulitaka aseme nn mtu alieko ICU? bora ungetuambia msaada mlompa kuliko hayo ulosema hayana tija. Think before you write. Kama ulikuepo hapo na ulimwona weka details za injury na mazingira alokutwa (as an important part of pt hx).
 
Chili swala la ukatili na kuchinjana ni matokeo ya watoto wet kushinda kwenye mabanda ya video na kutazama mapicha ya rambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…