Mchukuu wa Mangi
Member
- Sep 21, 2013
- 27
- 23
Katika hali ya kushangaza kuna mwanafunzi ambaye jina naliifadhi ambaye alifanikiwa kupata degree yake Tumaini University kwa mwaka mmoja amepata admission ya Masters a Degree Mzumbe university Dar campus na ameshaanza masomo

Mzumbe nao c ni wababaishaji tu..ndo maana masters zao zinaitwaga maharage ya mbeya.
Na ww ni mwongo tu, unatuletea habari za vijiw