Najaribu kutafakari maana ya huu uzi, ni kwasababu ufaulu wake ni jambo la ajabu sana au kwasababu ni mlemavu wa ngozi. Unajuwa ulemavu wangozi sio ulemavu wa akili, right???
Binadamu wenye ulemavu was ngozi hupitia unyanyapaa was hali ya juu Africa, kwenu huko wanachinjwa, hivyo akiibuka mmoja na kuongoza nchi kielimu, inabidi atangazwe kote kote ili jamii ianze kuwatazama upya.
Watu wenye ulemavu wa ngozi wapo sehemu nyingi dunia, sioni huko kwingine wakitangazwa au kupewa heshima ya ajabu pale wanapofanya vizuri kwenye mambo yao ya kila siku. Ningekuelewa kama ungemtaja yeye kama binadamu aliyepata matokeo mazuri, badala ya kuoneka kama unasema ulemavu wake wa ngozi ndio ulikuwa kikwazo kwa yeye kufanikiwa kielimu.
Nia na madhuni ya huu uzi ulikuwa unataka kuonyesha kama watanzania wote milioni 55, hawajali albino na wapo tayari kuwachunya wote. Hapo Mzee umefeli, Watanzania walio wengi 99.99999% wanawajali albino na kuwachukulia kama watu wa kawaida.Wacha kupindisha pindisha na kuizungusha kama kwamba hujui naongea kuhusu nini, unajitoa ufahamu kinafiki.
Watoto wenye ulemavu wa ngozu yaani albino hutelekezwa na jamii sana na pia kuchinjwa huko kwenu. Mara nyingi jamii hukosa umuhimu wa kuwapa elimu.
Kuna kitu tunaita affirmative action, kuwalinda na kuwapa uwezo watu wanaonyanyapaliwa kwenye jamii, na kila wakifanya chochote cha kusifiwa inabidi kitangazwe kote kusudi jamii ianze kuwaona kama watu kama wengine. Huyo mtoto albino leo amenyanyuliwa juu kwa juu na kuonyeshwa kwenye runinga zote, kuna ujumbe wa maana sana ambao umewafikia jamii zote zitakazo tazama hiyo video.....
Mkuu haikuwa sawa kutumia ulemavu wa huyu mtoto kujustify unayoyafikiria, not fair!
Pengine kungekuwa na namna nyingine ya kufikisha ujumbe wako, umemnyanyasa huyo mtoto.
Wote walio husika kuandika huu ujumbe hawaku mtendea haki huyo binti, is she the only one with albinism who had performed well. Kuna watu wengi tuu in Kenya and Tanzania wenye albinism ambao wako mpaka serikalini. Mbona sijakusikia unamtaja Justice Mumbi Ngugi ? Yeye hakupitia hizo shida?Kaka hili lazima lijadiliwe, burying our head in the sand, or pretending or looking the other way will not address this reality, this feat must be discussed on every national TV, in every bar talk, in every living room.... Must spread all over that a girl with albinism has conquered all odds manifested by stigmatization and emerged top in the whole country. This must be seen by every parent.
Here are her own words “Albinism should not confine anyone in the house, people living with albinism should know that they are up to the task of doing better like any other person. They must break the myths and work hard,”
---------------------------------------------------------------------------
The 14-year-old girl, who is living with albinism, defied all challenges including stigma to score 455 marks out of a possible 500, to emerge the best in the country.
She scored 99 marks in English, Kiswahili (99), Mathematics (85) and Science (88). When The Standard caught up with her on her way from Iten, where she had gone to visit her grandmother, Kakuya was overjoyed. Beyond expectations She was expecting to perform well in the examination, she said, but she was not expecting to be the top candidate in the country.
“It is amazing and fun to be the best candidate in the country. I expected to perform well but not to lead the whole country,” she said. She narrated how she overcame challenges and stigma surrounding albinism to emerge the best. “People around me including my fellow pupils, teachers and parents were friendly and encouraged me that albinism is just a condition and should not bar anyone from realising his/her dreams. They were very supportive and finally their efforts have paid off,” she said.
Her performance, she said, should inspire all persons living with albinism, and marks a major victory against stigma associated with the skin pigmentation condition. “Albinism should not confine anyone in the house, people living with albinism should know that they are up to the task of doing better like any other person. They must break the myths and work hard,” she said.Kakuya was full of praise for her teachers, who she credited with her exemplary performance.
She said she was hoping to join MPESA Foundation Academy or Kenya High School for her secondary education. “I want to be a psychotherapist or psychiatrist, I love anything related to the working of the human brain,” she said. At her school, teachers broke into song and dance, saying it was the first time for the institution produced the top pupil. “She has been leading in class since she joined this school.
I expected good results from her and she has managed it, we are proud of her,” said Ibrahim Nambande, the head teacher. Her father, Harrison Webo, who works at West Kenya Sugar Company, said his fourth born child had done him proud.“I have confidence that my child will join the school of her dream. She promised to work hard and she has done it,” he said.
In Trans Nzoia,Trevor Ombaso Osoro, 13, from Kitale School, led this years’ KCPE examination in the county with 434 marks. The second-born in his family, who wants to be a neurosurgeon in future attributed his performance to hard work and determination. “I did not expect anything less 450 marks. I aimed for the top countrywide but I’m happy with what I have attained and I thank God for the results,” said Osoro. His mother, Hellen Mongire, described him as an industrious and confident boy who loves reading. “We knew he was going to pass the exams,” she said. Osoro follows in the footsteps of his sister, Trizer, who was among the top KCPE students in the county last year with 400 marks.
Read more at: Kakuya has led her class in all tests since she joined school and capped it all by leading countrywide
Wote walio husika kuandika huu ujumbe hawaku mtendea haki huyo binti, is she the only one with albinism who had performed well. Kuna watu wengi tuu in Kenya and Tanzania wenye albinism ambao wako mpaka serikalini. Mbona sijakusikia unamtaja Justice Mumbi Ngugi ? Yeye hakupitia hizo shida?
Unasema huyo binti amepitia mambo magumu mpaka kufanikiwa kufika hapo ina maana na Kenya nako sio salama?
Nakusii usiukibie huu Uzi maana najuwa ni jadi yako kutimua mbio joto la mdahalo linapokuwa kali.Ni wazi kabisa huelewi ninachozungumza kuhusu au unajitoa ufahamu ung'ang'anie kama ulivyozoea kwenye masuala ya siasa ilmradi ushinde na kubaki mwenyewe kama aliyesema mwisho. Ni aibu sana kwa mtu kama wewe kupambana hapa ukibishia hili na ndio itabidi tu nikupuuze maana mkijitoaga ufahamu hivi huwa mnang'anganizia hadi mada inaishia kurasa nyingi zisizokua na maana ila kupotezeana muda.
Hakuna siku mtu mwenye albino atafaulu kwenye jamii bila ya sote kuzungumzia ushindi wake dhidi ya dhana tulizo nazo kama jamii. Hata huyo unayemsifia Justice Mumbi Ngugi ukisoma blog yake, anaeleza masaibu yaliyomkumba kwenye unyanyasaji au kubaguliwa.
Ni wazi ubaguzi wa albino upo kwenye nchi zote, hata Kenya upo lakini Tanzania tu ndiko mumepitiliza na kuwachinja. Haya hapa maneno ya Mumbi Ngugi
------------------------------------------------------------
However, my life has not been smooth sailing. It has never been easy especially when a large proportion of society is avoiding you. In fact, finding jobs for people like me is almost impossible because the world is convinced we are intellectually challenged, or a bad omen, or just objects of curiosity.
When I was growing up, I was always the centre of attention in every crowd I was brave enough to appear in. When I walked into a public place, everything would come to a standstill and I would feel everyone’s eyes tearing me apart. Some voices were loud while others whispered, but they all analysed me, mostly in disparaging terms.
My mother once took me to Kenyatta National Hospital in the capital, Nairobi, to seek help for my poor eyesight, but the doctors did not even know that I could be assisted with glasses, at least to protect my eyes from the glare of the sun. It was not until I was in high school that I finally got glasses with photo chromatic lenses.
There was little information around me about albinism so I scoured every little bit of information from reading books and magazines. I learned about preventing sunburn through use of sunscreen. I didn’t see or use sunscreen until I was about 17 years of age when I discovered it in a supermarket.
Meet Grace Mumbi Ngugi - People with albinism, by United Nations Human Rights