mwanafunzi SAUT auwawa kinyama usiku wa kuamkia leo

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi
 
Jamani poleni wafiwa Mungu ailaze roho yake peponi. Amina.
 
EEEE MUNGU WEEEEE Binadamu tumepoteza imani, hatuhurumiani! Pole kwa wafiwa wote.
 
Huyu wa pili sasa, si mwingine aliuwawa sijui Gamba beach? au kuna kamtandao kakuuza madawa ya kulevya na hawa wanafunzi ni wadau? si bure, kukutwa wameuliwa tu, kuna kitu nyuma yake.
 
Je alikuwa na fedha? Taarifa za awali zinasemaje kuhusu sababu ya yeye kuuliwa? Poleni sana
 
Huyu wa pili sasa, si mwingine aliuwawa sijui Gamba beach? au kuna kamtandao kakuuza madawa ya kulevya na hawa wanafunzi ni wadau? si bure, kukutwa wameuliwa tu, kuna kitu nyuma yake.

kuna agenda inaendelea chini ya carpet..maana siku mbili mfululizo watu wanauwawa vifo vya utata...who z next?
 
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi

Atakuwa alikuwa ametoka kula bata pesa ya boda boda ilimwishia umecost maisha yake.
Poleni sana wafiwa na wanafunzi wote wa SAUT kwa misiba ya mfululizo
 
Watanzania tumekosa utu,MUNGU muadhibu aliyefanya tendo hilo
 
Atakuwa alikuwa ametoka kula bata pesa ya boda boda ilimwishia umecost maisha yake.
Poleni sana wafiwa na wanafunzi wote wa SAUT kwa misiba ya mfululizo

yaan panaogopesha sana..na yote hayo yamesababishwa na boom
 
Huyu wa pili sasa, si mwingine aliuwawa sijui Gamba beach? au kuna kamtandao kakuuza madawa ya kulevya na hawa wanafunzi ni wadau? si bure, kukutwa wameuliwa tu, kuna kitu nyuma yake.

Poleni sana........

Hata kama si hilo moja kwa moja wawe makini na nyendo zao hasa wakati wa usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…