Mwanafunzi SAUT-Mbeya anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno 4 ya tembo

Mwanafunzi SAUT-Mbeya anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno 4 ya tembo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) tawi la Mbeya, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno manne ya tembo aliyokuwa nayo ndani ya gari.

Mwanafunzi huyo alikiri kwamba mzigo huo siyo wa kwake, bali amepewa kuusafirisha kwenda Kigoma.

DV5HhsVXcAA8RkR.jpg
 
Duh! Keshauziwa kesi... Basi hilo dili lingetiki, angesumbua sana vibinti vya chuo maana angekuwa na mpunga sio wa nchi hii.
 
Gari inataifishwa na jela anakwenda, wito kwa vijana, tuwe tunapima risk ya maamuzi tunayofanya, stay away from ilegalities
 
Kurisk kwa kiwango cha juu hivyo haitakiwi utapotea bure maana wahusika wakuu wa hizo kazi huwa hawakamatwi kwa kuwa wana mtandao ni mbaya sana kwa kweli...
 
Alikuwa anataka kujiongeza huyo

Ova
 
Ila acha tu, kwa maisha kama niliyoishi mimi chuo hata mtu angenipa dili la kubeba cocaine kilo 10 ningebeba tu. Life la chuo lilikuwa gumu
 
Utakuta aliahidiwa ml2 tu
Snitch apewe 2,1 kichwani na kifuani
 
Hapo ni ule msemo kuwa anayekutwa na ngozi ndiye.....! Pole Mwanafunzi
 
Deal imeingia chavichavi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Alipaniki meno ya tembo kama hayo unaweka kwenye begi la laptop then unapanda basi sio gari ndogo( kupoteza attention) yaani unafika salama.
Jamani ujangili sio dili
 
Mh! na hivi Chuo cha kanisa yaani hapo tayari kwisha habari yake.
Amegraduate mapema bila kutegemea!!!!😡😡😡😡😡😡
 
Isijekuwa ametumwa na katibu mkuu wa chama cha nzi wa kijani
 
Back
Top Bottom