Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) tawi la Mbeya, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na meno manne ya tembo aliyokuwa nayo ndani ya gari.
Mwanafunzi huyo alikiri kwamba mzigo huo siyo wa kwake, bali amepewa kuusafirisha kwenda Kigoma.
Kurisk kwa kiwango cha juu hivyo haitakiwi utapotea bure maana wahusika wakuu wa hizo kazi huwa hawakamatwi kwa kuwa wana mtandao ni mbaya sana kwa kweli...
Alipaniki meno ya tembo kama hayo unaweka kwenye begi la laptop then unapanda basi sio gari ndogo( kupoteza attention) yaani unafika salama.
Jamani ujangili sio dili