Mwanafunzi wa Advance (Science) chukuwa vitabu hivi kwa bei nafuu

kudath omar

Senior Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
173
Reaction score
209
Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha.

CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND )
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND)
A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden)

Vyote vipya kabisaaaa kasoro hiyo ramsden yenyewe ni mpya ila imetoka cover page. ila CHAND zote ni mpyaaaaaaaaa.

Utavipata vyote kwa shilingi 50,000/=

Nipo Dodoma, kwa wale walio mbali naweza kukutumia pia: 0656009034/ 0769631860

20200417_161935.jpg
 
Wana bahati hao. Yaani vitabu vyote hivi kwa 50,000 tu ?
 
Wakati Chand yenyewe nakumbuka nilinunua shilingi 60,000 wakati huo. Naona vitabu siku hizi havina bei asee.

Biological science (BS) nilichukua kwa shilingi 30,000
 
Chand, 2011 niliinunua 35,000/=
 
Wakati Chand yenyewe nakumbuka nilinunua shilingi 60,000 wakati huo. Naona vitabu siku hizi havina bei asee.
Hii labda ni bei ya ramsden..ila chands zipo nyingi labda unamaanisha ile ya aron bahl ya organic tupu
 
Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha.

CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND )
CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND)
A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden)

Vyote vipya kabisaaaa kasoro hiyo ramsden yenyewe ni mpya ila imetoka cover page. ila CHAND zote ni mpyaaaaaaaaa.

Utavipata vyote kwa shilingi 50,000/=

Nipo Dodoma, kwa wale walio mbali naweza kukutumia pia: 0656009034/ 0769631860

Broo nilikuweka muda mrefu.... Nilikua natafuta mkwanja vp ulishavitoa???? Nataka nipite navyo
 
Back
Top Bottom