Watu mnapenda kumake assumptions. Kama hujui ni bora kuuliza. Kusoma networking haina maana kusoma social networking. Kuna kozi kibao za computer networking. Inawezekana alitaka kusoma a computer networking course which allows sharing of resources and information among interconnected devices. Hiyo nayo Facebook?
Mkuu Hermanj the fact kuwa umesoma economics haina maana kuwa hutaweza kusoma others courses kama za computer. Tunakoenda huko mbele working with computers will be even more. It is all about multidisciplinary. Kama nataka mchumi wakija wachumi wawili lakini mmoja ana ufahamu wa computer networking na huyo mwingine hana, definitely I will pick the former be'se pamoja na kunisaidia kwenye mambo ya uchumi atanisadia pia kunetwork computer zangu kwenye ofisi. I wont need to contract outsider to do that.