Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Jina la Shule Tu kizungumkutiMwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius Chatanda amesema kuwa Mwanafunzi huyo, Jovan Revelian Justinian alijinyonga kwa kutumia shuka,aliyoifunga juu ya dali ndani ya bweni,baada ya kuwa na msongo wa mawazo, uliotokana na kubakishwa shuleni.
Pole kwa wazazi. Alibakishwa shuleni kutokana na ukosefu wa ada ama kitu gani?Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius Chatanda amesema kuwa Mwanafunzi huyo, Jovan Revelian Justinian alijinyonga kwa kutumia shuka,aliyoifunga juu ya dali ndani ya bweni,baada ya kuwa na msongo wa mawazo, uliotokana na kubakishwa shuleni.
HahahaBullying ni mbaya sana na ukute dogo alikua kichwa darasani. Ila askofu bikra! Wth? Institution kama shule yaani mnakaa kbs mnakubaliana jina liwe hilo? Vichwa vyenu vinaakili timamu Kweli?
Mamake angekua anampenda na kumjali mwanae asingempeleka kwenye hyoshule mana nikama alimpeleka utumwani syo shuleni haya mambo yakubakishna shule kisa wastan hata mie yananikwaza sana mwanangu hajabakishwa ila nikifikiria walio bak napata simanziKwanini mwanangu umefanya hivi, hujamuwaza mama yako jamani atapokeaje mwili huo. Eeenh Mungu saidia watoto wetu hawa
Usimlaumu mama inawezekana baba ndiyo mtoa amri. Miye nimawaza tuu mama aliyekaa nae tumboni miezi tisa.Mamake angekua anampenda na kumjali mwanae asingempeleka kwenye hyoshule mana nikama alimpeleka utumwani syo shuleni haya mambo yakubakishna shule kisa wastan hata mie yananikwaza sana mwanangu hajabakishwa ila nikifikiria walio bak napata simanzi
Mkuu inasikitisha sana hii staili yakubakisha mtoto shule kisa maks tena kdato cha 3 yani nchi hii kila mwenye shule anajiamulia lakwake wizara ya elimu kimya wizara ya ngwajima ya jinsia na watoto kmyaa wakati kwenye kutokufunga shule kwajili ya mapumziko kunahaki za watoto zinapotea wao wanasubiri mtu atangaze kuuza mnduku ndo wamwandame. haya mengine hayawahusu mana hayana kiki😥Usimlaumu mama inawezekana baba ndiyo mtoa amri. Miye nimawaza tuu mama aliyekaa nae tumboni miezi tisa.
Hiyo shule inaitwa BISHOP KIBIRA na wala siyo BIKIRA kama waandishi uchwara walivyoandika. Hata huyo afande anatamka kabisa KIBIRA lakini mwandishi anaandika Bikira uenda alikuwa anawaza mengine sababu hata afande anasema tarafa ya Bugando badala ya tarafa ya Bugabo. Pole kwa wazazi.Shule ya sekondari BISHOP BIKIRA??? mbona jina la shule lina ukakasi
Hivi BISHOP anaweza kuwa BIKIRA? Nijuavyo bikira inaendana na Mwanamke...
Bikira Maria, Bikira Martha, Bikira Esther, Bikira Ruth nk nk Sijawahi kusikia Bikira Paul au Bikira Matthew
Pole kwa familia iliyopoteza kijana wao.....
Hiyo shule inaitwa BISHOP KIBIRA na wala siyo BIKIRA kama waandishi uchwara walivyoandika. Hata huyo afande anatamka kabisa KIBIRA lakini mwandishi anaandika Bikira uenda alikuwa anawaza mengine sababu hata afande anasema tarafa ya Bugando badala ya tarafa ya Bugabo. Pole kwa wazazi.Askofu bikira (virgin bishop)
Nimesikia Leo nipashe radio one dogo hakutimiza wastan katika masomo yake hvyo shule ikaamua walio under average wanatakiwa kubaki shule so dogo akaona kama dharau akaona aende na bikra yake kama askofu wake
Mods na mtoa thread hiyo shule inaitwa BISHOP KIBIRA na wala siyo BISHOP BIKIRA kama ilivyoandikwa. Hata huyo afande anatamka kabisa BISHOP KIBIRA lakini mwandishi anaandika Bikira uenda alikuwa anawaza uasherati. Pole kwa wazazi.
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius Chatanda amesema kuwa Mwanafunzi huyo, Jovan Revelian Justinian alijinyonga kwa kutumia shuka,aliyoifunga juu ya dali ndani ya bweni,baada ya kuwa na msongo wa mawazo, uliotokana na kubakishwa shuleni.
Bishop bikira ni jina la mtu.