Nadhani kuna typo ni Kibira siyo Bikira. Maana kulikuwa na Bishop Kibira wa KKKT enzi hizo. Sikiliza vizuri huyo Afande ni Kibira
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Bishop Bikira iliyopo Kata ya Nyakato Tarafa ya Bugabo Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, amekutwa amefariki dunia, baada ya kujinyonga kwa kutumia shuka.
Akizungumza na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasius Chatanda amesema kuwa Mwanafunzi huyo, Jovan Revelian Justinian alijinyonga kwa kutumia shuka,aliyoifunga juu ya dali ndani ya bweni,baada ya kuwa na msongo wa mawazo, uliotokana na kubakishwa shuleni.
Kibira siyo BikiraBishop bikira ni jina la mtu.
Bishop Kibira siyo BikiraBishop bikira ni jina la mtu.
Wazazi sisi tunapaswa kusikiliza mawazo ya watoto saaana. Hasa upande wa shule. Miye shuke km kuna msala namwambia bi mdashi vizuri sana. Nakaa stand by lolote likitokea najua kule taarifa imeshasambaa mpk kwa mshua mwenyewe.Mkuu inasikitisha sana hii staili yakubakisha mtoto shule kisa maks tena kdato cha 3 yani nchi hii kila mwenye shule anajiamulia lakwake wizara ya elimu kimya wizara ya ngwajima ya jinsia na watoto kmyaa wakati kwenye kutokufunga shule kwajili ya mapumziko kunahaki za watoto zinapotea wao wanasubiri mtu atangaze kuuza mnduku ndo wamwandame. haya mengine hayawahusu mana hayana kiki😥
i have been in a shoe ya mwanafunzi kama huyo. Trust me, ni neema tu ya Mungu ndo inakutoa hapo ukiwa mzima.Kwanini mwanangu umefanya hivi, hujamuwaza mama yako jamani atapokeaje mwili huo. Eeenh Mungu saidia watoto wetu hawa
Unaweza ukadhani ntu anakenua kama mazuriUkute nae alikua Bikira maskini🥲
Tucheke tu ndugu zangu dunia huimalizi hii ukianza kutia huruma.Unaweza ukadhani ntu anakenua kama mazuri
Ila dunia ngumu hii
Tunashukuru kwa ufafanuzi. Mtoa taarifa atakuwa amekula maharage ya Kyela bila shaka kwa kuandika kichwa cha habari chenye ukakasi.Hiyo shule inaitwa BISHOP KIBIRA na wala siyo BIKIRA kama waandishi uchwara walivyoandika. Hata huyo afande anatamka kabisa KIBIRA lakini mwandishi anaandika Bikira uenda alikuwa anawaza mengine sababu hata afande anasema tarafa ya Bugando badala ya tarafa ya Bugabo. Pole kwa wazazi.
View: https://youtu.be/9_bE1-T73wY?si=EyltxepFqVxqrgzO
Moderator wa JamiiForums, rekebisheni kichwa cha habari ili kulinda hadhi ya huu mtandao. Kama mnavyo ona hapo hapo juu, baadhi ya wachangiaji wametoka nje ya mstari kutokana na mkanganyiko wa jina la hiyo shule.Mods na mtoa thread hiyo shule inaitwa BISHOP KIBIRA na wala siyo BISHOP BIKIRA kama ilivyoandikwa. Hata huyo afande anatamka kabisa BISHOP KIBIRA lakini mwandishi anaandika Bikira uenda alikuwa anawaza uasherati. Pole kwa wazazi.