Wadau kuna ndugu yangu alikuwa anasoma chuo, kwa bahati mbaya alidiscore semister ya kwanza. Kutokana na kugazibika hakutoa taarifa bodi ya mikopo kuwa amediscore ili wasitishe mkopo.
Naomba msaada kwa kuwa Hakumaliza chuo na kurazima kutafuta chuo kingine kwa msaada wa fedha za wanandugu. Je akipata kazi atatakiwa kulipa deni Allilokopeshwa na bodi kwa semister 1?