Mwanafunzi wa chuo cha tumaini dar afariki

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Mwanafunzi wa chuo cha Udsm duce dar afariki kwa njaa na vidonda vya tumbo mwanafunzi huyo kwajina la Giliadi goodluck umauti umemkuta jana
 
Mwanafunzi wa chuo cha Udsm duce dar afariki kwa njaa na vidonda vya tumbo mwanafunzi huyo kwajina la Giliadi goodluck umauti umemkuta jana

Badilisha kichwa cha uzi wako ni Duce sio Tumaini.
 
poleni sana hili tatizo linaanza kuwa sugu sasa vyuo vikuu unaonaje katika boom tuwe tunawalipia kabisha angalau mlo mmoja kwa siku hasa wa mchana halafu chenji tuwarudishie muendelee kwa wakati wenu.
inauma unapopoteza ndugu kwa chakula bado hatujafikia hapa ndugu zangu.
 
Msomi wa chuo amefariki kwa nja!!! Je daktari amethibitisha hivyo au ni kulingana na mfumo wa maisha yake?? Tunaomba ufafanuzi zaidi. Mhh...janga la njaa hata chuo kiku!!! Sipendi kuamini. Yote kwa yote, poleni sana ndugu na jamaa.
 
Mmhhh eti tumaini..then udsm duce., nna mashaka na wewe..
 
Poleni sana wana duce ila mtumie hela zenu kula vizuri deshi sio uanaume hadi uanze kujisifia.
 
Nakumbuka nikiwa SUA yaani boom ni kwa ajili ya kupiga misosi kwa mpemba na bhupe kwisha...mambo ya kununua tv na redio ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…