Mwanafunzi wa darasa la 5 ajiua kwa kujinyonga

Mwanafunzi wa darasa la 5 ajiua kwa kujinyonga

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Katika Kijiji cha Shaviringa ndogo ya makuchi kaunti ndogo ya Hamisi, Kenya, mvulana wa miaka 13 amejitoa uhai kwa kujinyonga na kamba

Chifu wa kata ya Shiru, Josephine Khalwale amesema kuwa mvulana huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano kabla ya kujiua alichukua kitu kwenye kibanda cha jirani yao na mmiliki alipomshtaki kwa wazazi aliadhibiwa na baada ya hapo alitoweka

Wazazi wake walianza kumtafuta jioni na waliupata mwili wa mtoto wao saa 4 usiku ukiwa umening'inia kwenye nyumba moja isiyo na wakazi ndani yake

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya rufaa ya Vihiga
 
Hawa watoto wa dot com ni wa kuogopa kama ukoma. Mimi huwa nawaomba wanangu msamaha. Wangemueleza tu siyo kumuadhibu. Au baada ya kumwadhibu wangemuomba msamaha na kumwambia hatukuwa na jinsi. Ila usirudie tena.
 
Back
Top Bottom