Mwanafunzi wa Diploma ya Procurement anatafuta field

Mwanafunzi wa Diploma ya Procurement anatafuta field

Donnyme

New Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
4
Reaction score
7
Samahani wadau elimu, nina mtoto anahitaji apate field sehemu yeyote last minute kwenye hata kwa wiki mbili au tati za mwisho kabla hawajatakiwa rejea chuoni.

Nitashukuru kwa ushauri na hata connection.
 
Back
Top Bottom