Mwanafunzi wa kidato cha kwanza ashatakiwa kwa mauaji ya wanafunzi 9 wa shule ya wasichana ya Moi

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza ashatakiwa kwa mauaji ya wanafunzi 9 wa shule ya wasichana ya Moi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 14 ameshatakiwa kwa mauaji ya wanafunzi 9 waliofariki kwenye moto uliounguza shule ya sekondari Moi Septemba 2

Mwanafunzi huyo ameachiwa kwa dhamana ya shilingi za Kenya 200,000 na masharti mengine
Waandishi wa habari walizuiwa kwenye kesi hiyo na hakimu Luka Kimaru akisema haki za mtoto mdogo lazima zilindwe
===============

A Form One student has been charged with nine counts of murder over the deadly fire that claimed nine lives at the Moi Girls School on September 2.

The student has been freed on Sh200,000 cash bail among other conditions pending hearing and determination of the case.
The 14-year-old student appeared before Justice Luka Kimaru who barred the media from covering the proceedings, saying that the minor’s rights must be protected.
The had earlier been remanded for a period of seven days to allow police conclude its investigations.

Moi-Girls-suspect-arraigned.jpg
 
Haki ya mtoto lazima ilindwe! Sasa sijui huyu ni mtoto wa sampuli gani, aliyewasha moto wenzake wakilala kisha akamuita rafiki yake wakasepa. Wakawaacha wenzao wakiungua! Mungu atuonee huruma, hii dunia inazidi kuwa ya kinyama kila uchao!
 
I wonder if it is mental illness or just spite...According to media reports, she didn't want to be in that school...
 
I wonder if it is mental illness or just spite...According to media reports, she didn't want to be in that school...
Very sad for such a young girl to do that to her agemates! I remember my classmates in form one, those who were my friends or otherwise. We were all comrades against the world! Some of my best friends in my life I got to know them in Form one. What happened to such stuff, for one to burn her classmates!
 
Mungu atuepushe na wenye hila mbaya,kama ni kweli huyu msichana alifanya hivi basi anastahili adhabu kali
 
pengine hakuwa na nia ya kuua...pengine alikua anatamani kwenda nyumbani...akaona awashe moto dorms ziungue ili wanafunzi waamrishwe warudi nyumbani kwa muda...but plans dint go as she wanted and innocent girls died...now she is in deep shit....si unajua tu teenagers wajinga sana
 
I always wanted to go to a boarding school but my parents were firmly against it....The irony is they both went to boarding schools...That is a top school in Kenya.. Indeed very sad state of things...
 
Back
Top Bottom