Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere na mtayarishaji wa maudhui kwenye TikTok, Elson Tumwine, anakabiliwa na hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri na kusambaza taarifa zinazodaiwa kuwa za Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda
Kulingana na upande wa mashtaka, mnamo Mei 2025, Tumwine alipakia video kwenye TikTok akisema kuwa, βkwa mujibu wa Anita Among, Rais Museveni aliiomba msamaha Buganda kana kwamba ni sehemu pekee ya nchi aliyoikosea. Museveni aliwahi kuchoma treni iliyojaa watu katika Mukura, eneo la Teso; watu elfu moja waliuawa na kutupwa kwenye bwawa karibu na Chuo Kikuu cha Soroti na wanajeshi wa Kinyarwanda waliokuja kumsaidia.β
Kauli hizo nzito zilikataliwa vikali na Bunge la Uganda, likisema sauti hiyo ni ya uongo na ni propaganda mbaya. Kupitia ukurasa wao wa X-Twitter, Bunge liliandika:
βTumejulishwa kuhusu kipande cha sauti kinachosambaa mitandaoni kikidaiwa kuwa cha Spika AnitahAmong. Huo ni uongo mtupu. Tunawaomba wananchi wapuuze taarifa hizi bandia zinazolenga kuchochea chuki na upotoshaji.β
======
Tiktok content creator and Makerere University student Elson Tumwine awaits sentencing after he pleaded guilty to doctoring Speaker of Parliament Anita Amongβs alleged response to President Yoweri Museveniβs recent apology to Buganda
Prosecution argues that in May 2025, Tumwine published a video on TikTok in which he commented that, βaccording to Anita Among, President Museveni apologised to the Baganda, behaving as if Buganda is the only part of the country he offended. Museveni burned a train full of human beings in Mukura, Teso region; a thousand people were killed and dumped in a swamp opposite Soroti University by Banyarwanda soldiers who came to help him.β
The strong allegations were vehemently denied by Parliament, which described the audio as malicious propaganda
βWe have been made aware of an audio clip circulating on social media, attributed to the Rt Hon. Speaker AnitahAmong. The clip is fake and unfounded. We urge the public to disregard this fake content aimed at spreading hate and misinformation,β Parliament stated on X
Source: Pulse