Mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza nisome vitabu gani ambavyo vitanisaidia?

Mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza nisome vitabu gani ambavyo vitanisaidia?

Juniourpaul

New Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Mimi ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza mnanishauri nisome vitabu gani ambavyo vitanisaidiaa?
 
Business law Soma snaa hvyo vitabu na company act 2000 utakuja nishukuru baadae
Mwaka wa kwanza na Company's Act wapi na wapi? Soma Katiba, Glanville Williams "Path of the law", Makaramba ~ "Legal Method in Tanzania" vingine vitakuja kadiri muda unavyopita.
 
Tutajie masomo unayosoma mwaka wa kwanza.
 
Au nenda pale Mawasiliano ukamsikilize peter Kibatala,Ukimfuatilia vzr umeshamaliza degree
 
Back
Top Bottom