Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ninyi ndiyo damu ya moto msipokuwa na akili na msimamo mtaliwa piaAngas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza ipasavyo baadhi ya ahadi na miradi muhimu kwa taifa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika mahojiano yake, Oketch amegusia mambo kadhaa ambayo, kwa mujibu wake, yameonesha udhaifu katika utendaji wa serikali, ikiwa ni pamoja na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ambapo Oketch anahoji kuwa Rais wa Samia alikuta shirika hilo likifanya kazi vizuri mwaka 2021, lakini sasa ripoti ya CAG imeonesha kuwa linaendelea kupata hasara kubwa.
Katika sekta ya umeme, Oketch anadai kuwa mwanzoni mwa utawala wa Rais Samia, serikali ilijigamba kuwa Tanzania inaweza kuzalisha umeme wa kutosha hata kuuza nje ya nchi. Hata hivyo, anahoji kwa nini sasa serikali inasema umeme hautoshelezi mahitaji na inaagiza kutoka Ethiopia.
Oketch pia amekosoa kile alichokiita "kukosa uwazi kwa wasomi", akisema kuwa badala ya kutembea na kuisifu serikali, wanapaswa kuitaka iwajibike katika mambo ambayo bado hayajatekelezwa.
"Matembezi yanayofanywa na wasomi kwa kipindi hiki yalipaswa kutumika kuikumbusha serikali juu ya mambo ambayo bado ni kigugumizi kwa taifa, badala ya kusifu tu," amesema Oketch.
Video: Jambo TV
Mkishashindwa hoja huwa mnakimbilia uraia.Sio raia wa Tanzania huyo
Yes huyu ndo mwanachuo sasa. Siyo.wale wa VETA UDOMAngas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza ipasavyo baadhi ya ahadi na miradi muhimu kwa taifa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika mahojiano yake, Oketch amegusia mambo kadhaa ambayo, kwa mujibu wake, yameonesha udhaifu katika utendaji wa serikali, ikiwa ni pamoja na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ambapo Oketch anahoji kuwa Rais wa Samia alikuta shirika hilo likifanya kazi vizuri mwaka 2021, lakini sasa ripoti ya CAG imeonesha kuwa linaendelea kupata hasara kubwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika sekta ya umeme, Oketch anadai kuwa mwanzoni mwa utawala wa Rais Samia, serikali ilijigamba kuwa Tanzania inaweza kuzalisha umeme wa kutosha hata kuuza nje ya nchi. Hata hivyo, anahoji kwa nini sasa serikali inasema umeme hautoshelezi mahitaji na inaagiza kutoka Ethiopia.
Oketch pia amekosoa kile alichokiita "kukosa uwazi kwa wasomi", akisema kuwa badala ya kutembea na kuisifu serikali, wanapaswa kuitaka iwajibike katika mambo ambayo bado hayajatekelezwa.
"Matembezi yanayofanywa na wasomi kwa kipindi hiki yalipaswa kutumika kuikumbusha serikali juu ya mambo ambayo bado ni kigugumizi kwa taifa, badala ya kusifu tu," amesema Oketch.
Video: Jambo TV
Kwa hiyo akiwa sio raia tusiseme?Mkishashindwa hoja huwa mnakimbilia uraia.
Ameongea point, awambie na wenzake kuwa wakiendelea kulala hawataitwa wasomi wajinga tu bali wataliwa piaSio raia wa Tanzania huyo
Kwanini sasa mwaka wa Uchaguzi?Kwa hiyo akiwa sio raia tusiseme?
Huyu Oketch ni mjinga sana!Angas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza ipasavyo baadhi ya ahadi na miradi muhimu kwa taifa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika mahojiano yake, Oketch amegusia mambo kadhaa ambayo, kwa mujibu wake, yameonesha udhaifu katika utendaji wa serikali, ikiwa ni pamoja na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ambapo Oketch anahoji kuwa Rais wa Samia alikuta shirika hilo likifanya kazi vizuri mwaka 2021, lakini sasa ripoti ya CAG imeonesha kuwa linaendelea kupata hasara kubwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika sekta ya umeme, Oketch anadai kuwa mwanzoni mwa utawala wa Rais Samia, serikali ilijigamba kuwa Tanzania inaweza kuzalisha umeme wa kutosha hata kuuza nje ya nchi. Hata hivyo, anahoji kwa nini sasa serikali inasema umeme hautoshelezi mahitaji na inaagiza kutoka Ethiopia.
Oketch pia amekosoa kile alichokiita "kukosa uwazi kwa wasomi", akisema kuwa badala ya kutembea na kuisifu serikali, wanapaswa kuitaka iwajibike katika mambo ambayo bado hayajatekelezwa.
"Matembezi yanayofanywa na wasomi kwa kipindi hiki yalipaswa kutumika kuikumbusha serikali juu ya mambo ambayo bado ni kigugumizi kwa taifa, badala ya kusifu tu," amesema Oketch.
Video: Jambo TV
Ataulizwa uraia muda si mrefu. Ila ndiyo vijana tunaowataka wenye uwezo wa kuhoji sio kuimba mapambio.Oketch
Sasa Samia must go halafu umemuweka do unajielewa kweliNaunga hoja,Samia must go 2025,
Sawa mbona huyo ana DNA za mwendazakeIngekuwa enzi zile zawendazake huyu kijana sahizi yupo lupnago Kwa kesi ya uchochoezi,anachangishwa milion 7
Na bado wanamdepot aende Kenya🤣