TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari


Jamaa lipumbavu wewe! Juha
 
So kila anaegongwa barabarani ni Jambazi? Jaribu kufikiri kama binadamu mwenye utu na akili. Kwa mtazamo huo utakuja kumfumua baba yako mzazi.
 
Ile sehemu kuna ajali nyingi mbaya zaidi traffic hawapendi kukaa wanapendelea kukaa external
 



Poleni sana, na acheni tabia ya kuzurura usiku mnatafuta nini! Jana kuna mmoja humu aliropoka eti nchi yetu watu wake wakarimu, wana utu na upendo, sasa kama huo utu wanao si wangesimama kuwasaidia mbona walisepa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…