Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Nataka clear method sio trial and error method
mkuu naona umeamua tu kuja shule baada ya yule dada wa kuleee kukuzingua [emoji12] [emoji12]

swali lako ulilodhani ni gumu nshalitolea jibu...., leta mengine watu wajifunze
 
WADAU NIMECHELEWA KUFIKA HUMU, KAMA KUNA SWALI LA PHYSICS AU MATH LILISHINDIKANA HUKO NAOMBENI MTU ANITAG LILIPO ILI NILIONE NILITOLEE MAJIBU
 
1. Mwaka una siku 365 na robo

Hiyo robo inapatikanaje???

2. Thibitisha, je binadamu yuko ndani au nje ya dunia??
 
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
Dah.... Kwa kiswahili kizuri... Ng'ombe alionao ni X= wazima + wagonjwa..... Wazima 180 =4x/5.....kwahiyo Ng'ombe alionao ni 45*5= 225
 
Nilipata 20/100 hesab darasa la tatu so sijajarib hesab tenaaa mpka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…