Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
mzee wa hoja za kijinga tupumzishe na upumbavu bana.aaggggghhhhhhrrrrrr!!!!!!!!!!
Wewe mzee wa hoja ( Am doubting), mbona leo mwanahalisi liko mitaani, we kama huna pesa ya kununua gazeti na huwa unavizia kusikia toka redioni umeliwa! aaah! no UMEFULIA!
Ni dalili za mafisadi na wadhalimu wengine wachache dhidi ya raia wa nchi kuliogopa gazeti hilo -- gazeti shujaa nchi hii haijapata kuwa nalo tangu gazeti la Family Mirror mwanzoni mwa miaka ya 90.
KEEP IT UP KUBENEA!!!!!!!! WE ARE ALL BEHIND YOU!!!!!!!
gazeti huru la upingaji ufisadi nchini sasa inaonekana linazama hasa baada ya siku hizi silisikii katika kipindi cha magazeti kama vile leo redio i , redio free na hata zenj fm, lakn hata ile website yao www.halihalisi.co.tz haiweki matoleo tena ya gazeti lao, nasema imekufa, blog ya kubenea nayo imelala fofo siku nyingi sasa, jee hii ni dalili kwamba kifo cha mwanahalisi kinayemelea?