Mwanaume suruali huyu vipi, miaka 3 ndio linakurupuka leo baada ya kuingizwa mtegoni na CCM, CCM hawatakulinda na kukuweka hotelini siku zote za maisha yako soon wakimaliza kukutumia watakuacha na kwenye makabrasha yao wewe unasomeka kama expendable.
Utakufa kifo kibaya!
makamba kuna siku atakuja kuulipa muda huu ambao watz wanaacha kujadili masuala ya muhimu wanajadili upumbavu wake..............
CCM wametoa ulinzi kwa jamaa maana kuna tetesi Chadema wanataka kumuua Mahimbo.