Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sasa dharau ndugu yangu!Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji
anamagoli 10+Anamagoli mangap?
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Ningekuwa mimi ndiyo huyo Sarpong, ningeanza maandalizi mapema ya mwezi Mei. Baada tu ya kichapo, mara moja mngeanza kunishwishi kama mlivyofanya kwa Morrison.Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji