Mwanahamisi wa Simba kamzidi Saporng kila kitu

Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji
Hii sasa dharau ndugu yangu!
 
Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Ningekuwa mimi ndiyo huyo Sarpong, ningeanza maandalizi mapema ya mwezi Mei. Baada tu ya kichapo, mara moja mngeanza kunishwishi kama mlivyofanya kwa Morrison.
 
Huyo hata ihefu hapati namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…