Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
🤣🤣🤣🤣🤣Mtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi
Hahaha!!Amemtaja jina.
Lakini siwezi kuliandika Hilo jina Kwa sababu yule asipoposti,nitabakia kwenye mataa.
Mimi shabiki yake mkubwa! Happy birthday kwake kama ni leoHeri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mkuu
Tupe location tuje tukate keki 🤗
My friends ladies and gentlemen,Mtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi
Mimi pia huwa napenda uandishi wake wa matukio 🤗Mimi shabiki yake mkubwa! Happy birthday kwake kama ni leo
Gentleman nasikia kuna mtekaji analiwa kisamvu?My friends ladies and gentlemen,
ni muhimu zaidi kuzingatia elimu na MBuNu zinazotolewa na mwalimu huyu aliefeli mtihani wake mwenyewe na itapendeza zaidi
Kaka Andrew tunasubiria hiyo clip najua hapo kwenu Butiama network haisumbuiMtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi
Happy Birthday Kaka Mkubwa!.By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi
Happy birthday Kaka wa Taifa!Mtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi
Kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwako binamu.Mtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday present nitapata sasa hivi