Zamani tulikuwa tunasoma hadithi za Perry Mason.
Perry Mason ni wakili,watu wanakwenda kwake kuomba msaada. Anasema,"Okay,nitakusaidia"
Lakini baadaye hadithi inapoendelea, Perry Mason pia anakuwa mtuhumiwa katika Ile kesi.
Somehow,he gets dragged in.
Hiyo ndiyo inakuwa Hallmark ya Perry Mason story, kwamba always wakili anakuwa mmoja wa watuhumiwa.
Ndiyo hapa naona I may start as being an observer and end up being a participant.