Mwanaharakati Godlisten Malissa apinga vikali utekaji wa wapinzani unaoendelea nchini. Amvaa Rais Samia na sera yake ya 4R!

Mwanaharakati Godlisten Malissa apinga vikali utekaji wa wapinzani unaoendelea nchini. Amvaa Rais Samia na sera yake ya 4R!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi karibuni mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania Godlisten Malissa amefanya mahojiano na kituo cha Jambo na kugusia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

Katika mahojiano hayo, Malissa amegusia sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoendelea nchini pamoja na matukio ya Utekaji yanayoendelea ambapo amezungumzia kwa kina kuhusu sakata hilo.

Soma pia: Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

Aidha Malissa amegusia kuhusu sera ya 4R ya Rais Samia ambapo katika mahojiano hayo na Jambo ameonekana kukosoa sera hiyo ya Samia

Tazama hapo chini


View: https://www.youtube.com/watch?v=lQR3PGitjnE
 
Back
Top Bottom