.Utangulizi.
hata uhuru wa watu kutoa maoni,lakini pia dhana ya maendeleo ilikuwa inatafsiriwa kwa serikali
Hiki kilikuwa ni kilio cha ndani nan je,mfumo wa chama kimoja ulizima uhuru wa watu kujieleza na
na huduma zote za kijamii ili kupunguza ukali wa maisha kwa watanzania.Joto la kubadili mfumo wa
ambayondiyoitakuwamwongozowaserazamaendeleo,mipango,sherianamfumomzimawa
yetu ilikuwa mbaya hususani kuanzia mwishoni mwa miaka ya sabini na miaka ya 80 yote.
mfumo wa ujamaa ulioasisiwa na CCM na kutamkwa kwenye Katiba ya Chama chao na Katiba ya
Nduguzangutangumwaka1992,Chademaimekuwaikikuakwakasikuanziaidadiya
uhuru wa watu pamoja na kasi ndogo ya maendeleo.
mtazamo wa kuanzisha Chama huku likieleza namna litakavyojenga uchumi wan chi kutoka kwenye
UchumiwaMrengowaKati,CHADEMAhaikuchaguamsimamomkaliwaupande
mmoja,CHADEMAiliruhusumfumoambaoutaruhusumawazochanyajuuyaFalsafayanchi
Makamanda, People’s,
Siasa lilishika kasi na kukubalika mwaka 1992.
Nduguzangu,mapendekezoyakuanzishwakwavyamayalikuwamengi,kilakundililikuwana
Mfumo huu ulisababisha serikali kubeba mzigo mkubwa kwa ajili ya watu watu,hakukuwa na sekta
33 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992 mara baada ya mabadiliko ya kimfumo wa Siasa nchini
nchini.
Chama chetu kilianzishwa kama mbadala wa chama cha mapinduzi ambacho kimekuwa madarakani
nchi.
Ndugu wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, nawasalimu kwa salam ya Chama.
Waasisiwetu,kwamaanayaviongozinawanachamawalikubalianaChademaifuatemfumowa
kutoka mfumo wa Chama kimoja kwenda mfumo wa Vyama Vingi.
cha ASP.Moja ya changamoto tuliyokuwa nayo nchini kabla ya mwaka 1992 ili kuwa ni suala la
tangu uhuru wakati huo Tanganyika kulikuwa na chama cha TANU na Zanzibar kulikuwa na chama
Ndugu zangu,Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA),mwakani(2025) kitafikisha miaka
Wataalam walishauri nchi kufanya mabadiliko ya kiuendeshaji wa nchi kuanzisha siasa,uchumi,elimu
binafsi iliyokuwa inaisaidia serikali kwenye shughuli za uzalishaji na utoaji wa huduma,hali ya nchi
uchumi na utoaji wa huduma za kijamii.
kushikilia njia kuu za uchumi huku serikali akiwa ndiyo mtoa huduma mkuu na mfanyabiashara mkuu
wanachama,mtandao wa chama ambapo sasa CHADEMA imesambaa kuanzia mijini mpaka vijijini,lakini pia CHADEMA imekuwa ikiongeza ushawishi wake kila siku na haya yameoonekana
linahimiza uwepo wa demokrasia ndani ya chama na hili limekuwa ndiyo sifa ya chama chetu
Mwaka 2024 nilishiriki kwenye timu ya watalaam (Wakufunzi) waliokuwa wakitoa mafunzo kwa
ya Kaskazini pamoja na Kanda ya Serengeti.
pamoja na mawimbi makali ambayo yamekuwa yakikikumba chama chetu nyakati zote za uchaguzi
2.2. Kuhusu Elimu.
Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT),pia nimehudhuria kozi mbali mbali za Kitaifa
Imani ya wananchi kwa chama ni kubwa,watanzania wengi sasa wana imani na CHADEMA na haya
na Kimataifa kuhusu Uongozi,Haki za Binadamu,mawasiliano ya kimkakati,sheria na masuala ya
viongozi wetu waliotangulia Mh Edwin Mtei,Bob Makani na Freeman Mbowe.
CHADEMA kama lilivyo jina lake,Chama cha Demokrasia na Maendeleo,imekuwa ikifanya uchaguzi
usimamizi wa rasilimali kama sehemu ya kujiongezea ujuzi na maarifa.
3.0. Uzoefu wangu wa Uongozi.
Makamanda na wana CHADEMA wote,Kwa sasa mimi ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la
Mbali na kuwa mwanachana hai,nimekuwa kiongozi kwenye ngazi mbali mbali kama Mwenyekiti wa
ya wabunge,madiwani na wenyeviti wa vitongoji,vijiji na mitaa.Hii ni kazi nzuri iliyofanywa na
kuu kuanzia mwaka 2010 mpaka 2020.
NduguwanaCHADEMAnawatanzaniawote.chaguzihizinitafsiriyajinalachamaambalo
Nina shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma (BA in Mass Communications)kutoka Chuo
Tawi,Kata,MwenyekitiwaBarazalaVijana,MwenyekitiwaWilaya,MjumbewaBarazaKuula
tumeyaona kwenye kasi ya ongezeko la wanachama kupitia kanzi data ya chama,idadi ya kura,idadi
kwenye chaguzi zote za kuanzia mwaka 1995 mpaka sasa.
wanachama,wagombea na viongozi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,vitongozi na vijiji Kanda
wake kila baada ya miaka mitano kuanzia ndazi za chini mpaka taifa,chaguzi ambazo zimekuwa wazi
2.3. Kuhusu Ushiriki wangu kwenye kazi za chama.
wa chama,na hii ndiyo maana halisi ya demokrasia.
2010,nimeshiriki kwenye oparesheni za chama kuanzia mwaka 2010,nimeshiriki kwenye kampeni
ninaishi Arusha.
kiserikali linalojihusisha na huduma za kisheria na Haki za Binadamu (CILAO) lenye makao yaku
Ndugu zangu,nayekuja mbele yenu ni mwanachama hai na mtiifu wa chama chetu mwenye kadi
MSINGI na pia nimewahi kugombea udiwani kata ya Baraa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka
mbalimbali za uchaguzi mdogo mfano Arumeru Magharibi,Kalenga, Arusha Mjini na pia chaguzi
chama Taifa,Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama Taifa,Mkufunzi wa Program ya CHADEMA NI
makuu jijini Arusha,Chini ya shirika hili nimekuwa mstari wambele kutetea haki za binadamu
namba CDME 457264 ni Mtanzania,mzaliwa wa Wilaya ya Rorya mkoa wa Mara ambaye kwa sasa
na huru kwa kila mwanachama mwenye sifa.
1.1.KUHUSU UCHAGUZI.
2.1.Kuhusu asili yangu
pamoja na kusimamia misingi ya Uongozi bora.
Nimeendesha kesi mbalimbali kama kesi dhidi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
ChiniyaUongoziwangu,nitawaunganishawatanzaniabilakujalitofautizaokuidaiKatiba
4.0. Sababu za kugombea
mpya,ndani ya kipindi cha kwanza cha uongozi wangu nitahakikisha shinikizo kali la watanzania
ChamachaMapinduzimadarakanindaniyamfumowavyamavingi,haiwezikuletamabadiliko
itakuwa ni Katiba mpya.
wananchi,maisha yangu yote yamekuwa nikitanguliza mapambani dhidi ya aina yeyote ya ukiukwaji
mambo mengine yote.
usawa,uhuru na haki,ni wakati sasa Chadema kuwa na kiongozi ambaye ajenda yake ya kwanza
4.2. Kurejesha hamasa ya Kisiasa ndani ya CHADEMA.
Chini ya Katiba hii ya sasa iliyotungwa mwaka 1997 ambayo kimsingi ilitungwa ili kukisimika
Chademakuwanakiongoziambayeatakamilishakaziiliyoasisiwanawatanguliziwetu(Edwin
CHADEMA,chama ambacho utambulisho wake ni uwepo wa demokrasia ndani ya Chama,Uhuru na
Mtei,Bob Makani na Freeman Mbowe) kwenda kushika dola,kunahitajika mbinu mpya ili kuishika
Utegi Rorya,Nyatwali Bunda,Msomera,Loliondo,Ngorongoro,KIA na maeneo mengine nchini.
Siasa za mwaka 20152020 zimefifisha ari ya siasa nchini hususani kwa vyama shindani na chama
nafasi ya kila mwanachama kugombea nafasi yeyote ndani ya chama ndiyo utambulisho wa chama
yeyoteyakisiasanchini.NiKatibaambayohairuhusumfumowavyamavingikufanyikakwa
Fedha kupinga Kanuni zilizozaa TOZO kwenye miamala ili kupinga udhalimu wa serikali dhidi ya
dola.
licha ya kuhama chama,Kesi dhidi ya Mkurugenzi wa Mashitaka ya Taifa (DPP) kupinga kitendo cha
wa Haki za Binadamu.Nimekuwa mstari wa mbele kutetea jamii za wafugaji kuhusu haki ardhi mfano
Buhigwe,Muhambwe,Mtambwe
dhidi ya dola kukubali takwa la Katiba mpya linafanikiwa na hii ndiyo itakuwa ajenda kuu kabla ya
waweze kujiletea maendeleo,Watanzania wanahitaji namna mpya ya kufikiri,kupanga na kuyatazama
mambo,Utajiritulionaohaufananinamaishayawatanzania,ilikufikahukoniwakatisasawa
chetu,mbalilahililahakiyaKikatiba,mamboyafuatayoyamenisukumakuwanianafasihiiya
kushika dola,hii ndiyo dhamira yangu kuu,ni wakati sasa wa CHADEMA kuwaongoza watanzania ili
Pamoja na hayo pia nimeshiriki katika Uangalizi wa Uchaguzi ndani na nje ya Tanzania mfano
ya sheria na kanuni,haya nimeshiriki kwa kushirikiana na asasi mbali za kiraia na za kidini nchini.
UchaguziMkuuwaKenyamwamwaka2017,2018,2022,uchaguzimdogowaJimbola
Nimesukumwa kuwania nafasi hii ili kutimiza matakwa na haki zangu kama mwanachama mtiifu wa
Dhamira yangu ya kwanza nikichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama,ni kuongoza mapambano na
Tanzania pale alipokiuka Katiba ya nchi kwa kumruhusu Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge
Nimeshiriki kwenye mijadala,vikao na majadiliano mbali mbali inayolenga kuhamasisha mabadiliko
kukamata na kufungulia watu mashitaka kabla ya kukamilisha upelelezi,Kesi dhidi ya Waziri wa
Uenyekiti wa Chama Taifa.
4.1. Kushika Dola.
4.2. Kuendesha hamasa ya watanzania kuandika Katiba mpya.
kilichopo madarakani,Uongozi unaomaliza muda wake,ulifanya kazi kubwa ya kushawishi watu wa kadambalimbali kuiamini CHADEMAna hata kujiunga nayo,CHADEMAkwasasa inamtaji
ikiwemo Ruzuku kutoka serikalini.
Kanda kuwa wabunifu,kazi yao ipimwe kwa ubunifu wa shughuli za kukiingizia Chama mapato nje
chetu nitaweka nguvu kubwa kwenye ofisi za kanda ili ziwe na nguvu kiuchumi na kiushawishi,Ofisi
kutoka kwa wahisani na marafiki ni kujipa mzigo mkubwa hususani wakati wa kampeni.
kupata uungwaji mkono wa kundi kubwa la vijana lililokuwa na umri chini ya miaka 18,kundi hili
vyanzo vingi vya mapato,chama kuendelea kutegemea ada za wanachama,ruzuku pamoja na misaada
mkubwa wa wanachama wa kundi la vijana,wanawake ,wazee na wasomi.
Kazi kubwa iliyofanyika ndiyo chanzo cha chama chetu kuwa na mabaraza yenye idadi kuwa,leo
chama chetu kina mabaraza ya vijana,wanawake na wazee yenye mtandao nchini nzima ,kuanzia
ngazi za chini na hivyo kuleta malalamiko ya mara kwa mara kuwa Chama makao makuu hakijaweka
za Kanda ndiyo zitakuwa mhimili mkuu wa chama chetu.
kazizakitafitinanjiazakuongezavyanzovyamapato.Niwakatisasakufikirianamnaya
ngazio za chini mpaka ngazi za taifa.
Naomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti ili kuimarisha uchumi wa chama,Chama chetu lazima kiwe na
CHADEMA,kundi hili linahitaji mbinu na ujumbe tofauti na ule uliotumika miaka ya 2000 kupata
Ofisi za Kanda lazima zibadilike,badala ya kusubiri pesa kutoka makao makuu,ni lazima Makatibu wa
kazi zote za chama na kukijenga ili kurahisisha kazi ya kudai Katiba mpya na hatimaye kushinda
Kundihilinimtajikwasiasazakeshonasikuzijazo,kundihililimekosafursayakuifahamu
Kusimamishwa kwa shughuli za kisiasa kati ya mwaka 2015-2020 kuliinyima nafasi CHADEMA
uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi tofauti.
wa chama kugharamia shughuli za kila siku za chama umeshuka kutokana na vyanzo vingine kushuka
nguvu wala kipaumbele kwa shughuli ambazo siyo za kitaifa.
Mtandao wa chama unatakiwa kuongeza kasi na kuyafikia makundi na taasisi mbali mbali ili kusaidia
kinahitaji kurejesha hamasa ya makundi yote na hususani vijana ambao watakuwa tayari kushiriki
4.5.Mtandao wa Chama.
4.3.Uimara wa Chama
wa ndani na nje ya nchi,na hii imekuwa moja na faida kwa Chama,katika siku za hivi karibuni
uchaguzi.
Ufinyu wa vyanzo vya mapato umesababisha uwezo mdogo wa chama kuhudumia shughuli za chama
CHADEMA.
kuwashirikisha Watanzania waishio nje ya Tanzania katika kushiriki na kuwa sehemu ya siasa za nchi
ya ada za wanachama na michango ya marafiki na wahisani.Nikipewa ridhaa ya kuongoza chama
halikupewa fursa ya kuijua siasa,kushiriki siasa na hata kujiunga na vyama vya siasa.
Kwa nafasi yangu,hii itakuwa moja ya ajenda kubwa baada ya ile ya Katiba mpya,Chama chetu
Ndugu zangu chanzo kikuu cha mapato ya chama chetu kimebaki kuwa ni ada za wanachama,uwezo
Kwa miaka 32 tangu kuanzishwa kwa chama chetu imefanyika kazi kubwa ya kutengeneza mtandao
tumeonauogakamasiyokurudinyumakwawatuamataasisimbalimbalikufanyakazina
yao ,hivyo ni wakati wa kuwa na Kanda Maalum ya chama yenye uongozi wake na yenye haki ya
kushiriki kwenye vikao vyote vya maamuzi ndani ya chama pamoja na kufikiria kuwa na mtandao
kwenye Taasisi ya Elimu ya Juu
umoja ndani ya chama.
Hili ni eneo ambalo chama kitaongeza nguvu,hiki ndiyo kitengo kitakachoongoza ajenda zote za
4.9.Kitengo cha Utafiti
Falsafa na Itikadi ya Chama,misingi na miiko ya Uongozi wa CHADEMA,maono na matamanio ya
Chini ya Uongozi wangu nitaimarisha program ya sasa ya kuwajengea uwezo viongozi vijana wana
umoja,nagombeailikuimarishaumojandaniyachamachetu,kwakushirikiananawanachama
lazima viwe mfano wa maendeleo,chama lazima kiwe na programu maalum ya ustawi wa wanachama
wake,Mabaraza ya Vijana,Wazee na Wanawake yatatoka kwenye fikra za mabaraza ya kisiasa na
kuwaandaa kuwa viongozi nje ya elimu walizonazo.
Chuo hiki kitakuwa na mataala maalum ambao utawawezesha vijana wa Chama chetu kuielewa
Viongoziwamabarazawatapimwakwajinsiwanavyobunishughulizakuwaleteamaendeleo
Mabaraza haya lazima yawe suluhisho la changamoto zinazoikumba jamii,hii itasaidia mabaraza haya
4.7.Umoja ndani ya Chama
na nguvu makao makuu pekee,vitengo hivi vitaimarishwa mpaka ngazi za kanda.
rafiki.Kwakushirikiananawenzangututawezakadiriolavijananawanawakeambaowatapata
yataendeshwa na watalaam wa ndani ya chama na wale wa nje.
na majukumu mengine ya kuongeza ushawishi wa chama lakini yanatakiwa kuwa Mabaraza ya
Chamakwawatanzania.Viongozi wakuchaguliwa wote kuanzi angazi za chini mpaka kitaifa
wenzangu,uwazi,matumizi sahihi ya rasilimali,haki sawa kwa wote itakuwa ndiyo msingi mkuu wa
watalazimika kuwa wanahudhuria mafunzo ya mara kwa mara ili kuwaimarisha.Mafunzo haya
Chama kinahitaji kuandaa viongozi vijana,Chadema chini yangu ndani ya miaka mitano nitahakikisha
Chama chetu kinahubiri maendeleo,chini ya uongozi wangu wanachama wa CHADEMA na chama
wanachama wake.BAVICHA lazima iwe na suluhisho la changamoto za vijana nchini na ndivyo
chama na nchi kwa ujumla.
itakavyokuwa kwa mabaraza ya Wanawake na Wazee.
Ilikushikadola,umojanikitumuhimu,kutanukakwamtandaowachamachetunisababuza
wanawake kwa kupata nafasi za mafunzo ndani nan je ya nchi kupitia vyama rafiki,Vyuo na taasisi
inakuwa na Chuo chake cha Uongozi,Vijana watapata nafasi ya mafunzo ya muda mfupi na kati ili
kuwa sehemu ambayo moja ya majukumu yake ni ustawi wa wanachama wake.Mabaraza haya mbali
kuwa kimbilio la wengi na siyo sehemu za kukamilisha ndoto za ubunge ,udiwani na nafasi nyingine.
4.6.Ustawi wa Wanachama.
ustawi wa wanachama kiuchumi.
4.8.Mafunzo kwa viongozi wa kesho ndani ya Chama.
mafunzo ya ndani nan je,mafunzo haya yatalenga kuwaandaa viongozi wa kesho ambao watakiongoza
chama,nini kiongelewe,nani akaongee,na wapi chama kikaongee,Kitengo hiki cha Utafiti hakitakiwa
4.10.Mageuzi ndani ya mifumo ya chama CHADEMA kama Taasisi inayokua lazima kufanyia mageuzi mifumo yake ili kuendana na
masuala yote ya malalamiko na maadili ndani ya chama.
nchi.Hapa tunakusudia kuwa na chama ambacho ni SAUTI YA JAMII katika FURAHA na SHIDA
maadilina malalmiko ndani ya chama,hapaninakusudia kuanzishwa kwa Mahakama ya
majukumu yao yanawazuia kufanya kazi za kisiasa.Nitaanzisha program maalum ambayo itawafanya
wakatinamazingirayaliyopo,ninakusudiamageuziyalengekwenyemfumowetuwa
Chini ya Uongozi wangu,viongozi tutapimwa kwanza kwa nanmna tunavyobadili maisha binafsi ya
wa viongozi wa Kitaifa na kwenye kura za maamuzi za wagombea Udiwani,Ubunge na
Bodi Huru ya Uchaguzi ambayo itaongozwa na Mwenyekiti na Makamu Mwnyekiti wenye
Kichama ambayo ndio itakuwa na dhamana ya kupokea,kusikiliza na kutoa maamuzi kuhusu
4.12.Ofisi za Chama.
Muungano
kuanzia ngazi ya Wilaya tunakuwa na ofisi rasmi za chama ambazo zinamilikiwa na chama,na ofisi
nafasiyakuajiriwakwenyetaasisizaserikaliamasektabinafsi,huachananasiasa,tumekuwa
wanachama wetu na jinsi tunavyokijenga chama chetu.
Mageuzi pia yatalenga kuangazia namna mpya ya kupata Katibu Mkuu na Manaibu wake wa
ziwe na program maalum ya ustawi wa wanachama wa eneo hilo kulingana na fursa zilizopo huko.
Chama kimekuwa kinapoteza wanachama wengi hususani vijana kutokana na wengi wanapopata
tunawapoteza vijanahawakutokana na kutokuwanamfumomzuri wa kuwatumia watu ambao
CHADEMAambayoinasemeajamii,inateteajamiinainalindajamiipamojanarasilimaliza
hivyo kwa kuanzia na uchaguzi wetu ndani ya chama ambako kila upande wa Muungano
Kuweka utaratibu wa kutekeleza msimamo wetu kuhusu Muungano wa Serikali Tatu na
MahusianoyaNje,MjumbewaKamatiKuunayeshughulikiaMahusianoyaAsasiza
Chama cha siasa ni mali ya Umma na kiko kwa ajili ya Umma,hivyo ni msisitizo wangu kuona
NA MATATIZO YA JAMII.
vyanzo vya chama,utayari wa wanachama na mashabiki wa chama kukichangia chama,nitahakikisha
hizo zitatakiwa kuwa na miradi ambayo itakuwa chanzo cha mapato ya chama,na pia ofisi hizo lazima
Bara na Zanzibar,kupunguza mamlaka ya Mwenyekiti kuteua Wajumbe wa Kamati Kuu,
Urais.Utekelezajiwa Serayetuya SerikaliyaMajimbo,Mageuzikuhusu Wajumbewa
Kuona namna bora huko mbeleni namna ya kushirikisha wanachama wote katika uchaguzi
uchaguzi wa ndani ya chama na kwenye uwakilishi kwenye vyombo vya dola kwa kuanzisha
4.13.Uimara wetu kwa kuwa na wanachama wa kudumu
Kama wanachama watanipa ridhaa ya kuwaongoza,nitahakikisha ndani ya miaka mitano kwa kutumia
utachaguaviongoziwakenabaadayekuunganakuchaguaviongoziwakitaifayaani
Kiraia,Viongozi wa Dini,Tasisi za Elimu ya Juu nk
Kamati Kuu wenye kazi (wenye portfolio) mfano Mjumbe wa Kamati Kuu anayeshughulikia
4.11. Mahusiano ya Chama na Jamii
sifa za Ujaji wa Mahakama Kuu,kadhalika mageuzi pia yatahusu mfumo wa kushughulikia
wapambanaji wetu waendelee kuwa sehemu ya mapambano na pia sehemu ya uchauri bila kuathiri majukumuwaliyonayo.TunakundikubwalinaipendaChademailahatunamfumomzuriwa
Imetolewa na:
ARUSHA
MGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA
ODERO CHARLES ODERO
26 DECEMBER 2024
kuwatumia bila kuathiri kazi zao.
MBELE KUNA MWANGA