Mwanaharakati Stella Nyanzi ahukumiwa jela miezi 18 kutokana na shairi aliloandika kuhusu Rais Museveni na Mama yake

Uganda ukingia kwenye baadhi migahawa wameandika"marufuku kuzungumzia mambo ya siasa"

Ova
 
That poem is so cold, very harsh and allot board.Shame, shame, shame stella!!
 
Huyu si ndiye alisomea phd ya ' tendo la ndoa' ?! Ambaye baadaye aliandamana akiwa mtupu kupinga kubadilishiwa ofisi!?
===
Mlera mada na wewe kuweka poem hiyo hapa hujui unaikosea mamlaka ya Uganda!?
 
Huu uonevu sasa unazidi , viongozi wa nchi kunyanyasa wananchi unazidi kila kona , viombo vya dolla vinatumika vibaya kukandamiza haki za raia, inauma sana
 
Alafu muandishi yupo msupa ile mbaya , so natural
 
Tuache utani,poem km hiyo hata Mimi ingenikela.imejaa matusi,its stupid
 
She is bravely stupid... what she wrote does not only insult Museven & his mother buy also insults African moral values.
Nimeshangaa sana mtu asiye na busara amewezaje kuwa mkufunzi wa watoto, mtu mwenye busara hawezi kupinga tatizo kwa kuanzisha tatizo lingine. Hii inashusha hadhi ya wasomi wetu.
 
Huu uonevu sasa unazidi , viongozi wa nchi kunyanyasa wananchi unazidi kila kona , viombo vya dolla vinatumika vibaya kukandamiza haki za raia, inauma sana
Unafikir kilichofanyika kipo sawa kisheria?
 
Huyu mwana mama ukiangalia mambo yake kabla ya hili shairi utagundua anamatatizo fulani ya kisaikolojia
Pamoja na upuuzi wote wa Museven lakini hili shairi hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…