mwanaharakati

mangenjile

Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
54
Reaction score
4
kwakweli mimi naiunga mkono serikili hii kuhusu madawa ya kurevya mana imekuwa shinda kwa vinjana mimi najiuliza tunazaa watoto wa alina gani mana kila mtoto akikua anajiinginza kwenye madawa ya kurevya kwahiyo yanahalibu sana taifa la vinjana kwakweli inapaswa tulitokomeze hili tatizo
 
Malezi nayo yanachangia kama wazazi hawa toi uangalizi mzuri kwa vijana wao ni rahisi sana kutumbukia huko
 
kunakitu kingine makundi ndo yanasababisha hata kama nyumbani kuwe na malezi mazuli unakuta mtoto anabadilika tu kila kukicha hapo ndo utajiuliza chazo ni nini
 
Kajifunze kwanza kuandika, pia ujue jukwaa gani linafaa kupost mada yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…