Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 94
- 202
Waziri wa Elimu ,Sayansi na Tkenolojia,Mhe. Prof.Adolf Mkenda, alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya shindano la pili la stadi za kufundisha somo la Kiingereza kwa shule za Msingi nchini ambalo litafanyika tarehe 25/06/2024 jijini Dar es salaam.
Shindano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa ufadhili wa Benki ya Dunia ambapo jumla ya walimu 21 kutoka nchi nzima walifanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo la stadi za ufundishaji wa somo la Kiingereza.
Mwanajamii Forums ninayewasogezea taarifa hizi nilishiriki na kushika nafasi ya tano.
Shindano lilianza na washiriki 3705 na hatimaye kumalizika kwa washindi 10 waliotunukiwa tuzo.
Naomba kuwasilisha.