Members Ambao ndiyo walikuwa wachangiaji wakubwa kuanzia 2009..
- MwanajamiiOne- Mambo ya Mahusiano she was A Champion.. Yaani Akitoa Mchango wake Mwaa.
- Fidel80 - Kijana Machachari Sana
- CharmingLady- Mchuchu wangu
- Madam B- No Comment
- Fisrt Lady- Yaani Kama MwanajamiiOne
- Retired Sister-
- Da Kiboga
- Miss Neddy
- Miss Chagga - Hajaacha machachari yake yeye alikuwa anawatafutia wadada BF.. Hahaha
- Retreat
- Mammy22
- Mzee wa Rula
- Eleine- Sijui alishapata Mwanaume aliyekuwa anamtafuta
- Pistol Gang
- Yoyo..
Wakuu Ndani ya Kundi hili na walio wengi ndio waliotoa michango Mingi kuwepo na Jukwaa la Chit Chat.
Hivi Hizi Njemba bado zipo kweli humu..