Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Karibu Mkuu,pole kwa yote.Shukrani sana Mkuu [emoji1431]
Huyu mshkaji sijui alitokomeaga wapi?Kuna huyu wa kuitwa Humble African nae ni cku nyingi hajaonekana jamvin
Too lovely,......Muache kabisa Rebeca 83, she's so lovely basi tu[emoji23]
Mbona hukutoa taarifa humuISIS alifariki sema hakuna aliemjua hata mods wameshindwa kuthubitisha
Ontario yuko IG anatupa madini.Huku alikimbia majungu na fitina .
Kote huko namfatilia😀😀 insta, twitter na YouTube.Ontario yuko IG anatupa madini.Huku alikimbia majungu na fitina .
Huku hadi Lemutuz kumemshinda mkuu. Huku bora tuendelee kuwa anonymous tuuKote huko namfatilia😀😀 insta, twitter na YouTube.
Ila jamaa hawezi challenge ni mtu wa kupanic sana. Ndio maana huku kumemshinda.
I
Huyu mchizi tulishamzika kitambo kwa ajali ya gariMzuka
Huyu mwamba kapotea sana kabla hata ya Corona. Yuko wapi?
Mioyo yetu wiki hii imetulia baada ya BAK kurudi jamvini.
Kuna pia Kisu Cha Ngariba long time sana haonekani akina Beira Boy (London baby). Kuna pia NAMTUMBA .
King tulikuwa tunataniana humu anachoma mkaa minjingu.
Hope he is doing well and fine. View attachment 1451391