sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hi8 ndi9 inaongoza, Biden akili ndogo sana, unatoaje jeshi wakati kuna raia wa nchi yako na silaha za matrilioni.By the way kati ya failed mission za USA na hii ya Watelaban ipo katika historia
Ni kutokana na akili ndogo za Biden, hivi unatoaje jeshi wakati raia wako na silaha zako bado zipo kwa adui, huyu mzee ugonjwa wake wa akili (dimentia) ushagharimu maisha ya watuNdio walipewa masaa kadhaa wawe wameondoka zaidi ya hapo ambush ingehusika ndio maana marekani wamekimbia kama wendawazimu
Nakubalia na ww mkuu.Nilisema hapa marekani wameondoka kimkakati zaidi, hizo silaa hawajaacha bahati mbaya there is untold story behind
😄🤣😂akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.
Frankly speaking BID.. is Incompetent to continue being the President.
akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.
kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban wananyonga watu hewani kwa helikopta zilizoachwa.
Naona Biden uongozi huu umemshinda, afya yake tumeshaona inatia shaka kuanzia kuanguka anguka kwenye ngazi, kuwa msahaulifu (dementia), kukwepa kujibu maswali na kubwa kuzidi yote ni hii kuondoa jeshi kabla ya kutoa wananchi wa marekani na silaha za trilioni 180
Marekani hivi inawahusu?Hi8 ndi9 inaongoza, Biden akili ndogo sana, unatoaje jeshi wakati kuna raia wa nchi yako na silaha za matrilioni.
Hapa hata trump wamefosi kumtupia lawama lakini imeshindikana, Biden kaaibisha sana nchi yake