Mwanajeshi ndie aliyemuua Padri Mushi Tanzania Visiwani?

Mwanajeshi ndie aliyemuua Padri Mushi Tanzania Visiwani?

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
644459_10151288664945841_1620012066_n.jpg
 
What? Kweli tz kila kitu kinwezekana
RIP Padre Mushi ukawe chumvi ya mabadiliko
 
ndo aliyechorwa kikatuni na fbi?kama ndivyo hivyo hafu serikali iko kimya basi vyombo vya dola vimeoza.
 
Hakika Serikali ya Mapinduzi Zenz inajua muuaji na mchomaji wa makanisa!!!! Kama haifahamu basi haina vyombo vya usalama!!! Kuna kitu ndani ya pazia.
 
Majanga plus, hivi hawa wamarekani ni kweli walipata muuaji au walichora chochote ili isije kuonekana hawajui kuchunguza???
 
Ndio ni Mwanajeshi wa Jeshi la Zanzibar lijulikanalo kama KMKM, ni mtaalamu wa kitengo cha Shabaha, alikuwa wa Pemba ila alikuja Unguja kwa likizo na kazi hiyo.
 
Leaks zingine ni ushenzi mtupu. Sasa kama wamegundua mwanajeshi ndiye aliyeua, si angepelekwa polisi au wamkamate wamzomee na kumsuta hadi afe! surely there must be something they should do! Na sio porojo hizi!
 
haya sasa yule jamaa waliemkamata na kumuonea mpk sasa yuko ndani eti kwakua ni mpinzani na alimtukana borafia mwenyekiti wa ccm mkoa mjini zenj wakaamua kumbebesha msalaba usiomuhusu sasa wsmuachie huru kijana wawatu
 
unaweza kuamini kwamba matukio mengi ya ugaidi hapa tz.. yanaratibiwa na viongozi wa dola ili kuwapa hofu\kashkash raia.
 
[h=2]Je, aliyemuua Padri Mushi Tanzania Visiwani hakukamatwa, na kisha akatupa bomu Kanisani Olasiti? Mlengwa anayefuata ni nani?[/h]Polisi na Usalama wa Taifa wasihangaike na CHADEMA ambao hawadhuru uhai wa watu, washughulikie matatizo halisi yanayotesa jamii!
 
Wengne vichwa vyao vimejaa udini,mambo yameshapita tugange yajayo km kuuwawa wameuaw masheikh wangapi mbona kila cku hamuandiki ile risasi alopigwa ponda angekuwa mchunganji forum zote zingejaa mara kapigwa na fundi seremala leo mwanajeshi huyo huyo mchungani mmoja kauliwa.
 
Back
Top Bottom