Mwanajeshi wa Marekani aimba na kushangaza umma

Mwanajeshi wa Marekani aimba na kushangaza umma

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Hapa tu ndipo Wamarekani wananishangaza,
Na ujinga ujinga wao woooote lakini kuna vitu lazima wasifiwe tu.
Hakuna namna tena..............
Nimeguswa na jinsi raia wanavyomfurahia mwanajeshi wao.

Hapa akiwa Afghanistan

Hapa ni kwenye America Got Talent

CC: kui
 
Khaaa hivi nyie huko marekani ndio jeshi lenu litapigana na jeshi letu la Urusi kweli!!?
Maana Jeshi mara mashoga waruhusiwe, mara wasanii, yaani hatari tupu!!!!
Kweli USA ndio inapotea hvo
 
Khaaa hivi nyie huko marekani ndio jeshi lenu litapigana na jeshi letu la Urusi kweli!!?
Maana Jeshi mara mashoga waruhusiwe, mara wasanii, yaani hatari tupu!!!!
Kweli USA ndio inapotea hvo

chokoza ndiyo utajua ni mashoga au ni wasanii
 
Back
Top Bottom