MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
kwani hapa kwetu shoga anaweza kuwa mjeda?
Hapa kwetu ukiwa mwanajeshi halafu unafanya sanaa lazima wakupige chini
Kila jeshi na sheria zake,
Japo wanajeshi wetu wanapenda sana utemi usio na maana.
Khaaa hivi nyie huko marekani ndio jeshi lenu litapigana na jeshi letu la Urusi kweli!!?
Maana Jeshi mara mashoga waruhusiwe, mara wasanii, yaani hatari tupu!!!!
Kweli USA ndio inapotea hvo
Daaahchokoza ndiyo utajua ni mashoga au ni wasanii