MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Sion mtu akisema lizabon, simiyu let wa la lemutuz
Hahahaha

Kwangu n yericko nyerere, mshana kwa picha na uchawi wake, nifah kma the great girl in jf mchangiaj sanatena demu,na emperor _____
 
Sion mtu akisema lizabon, simiyu let wa la lemutuz
Hahahaha

Kwangu n yericko nyerere, mshana kwa picha na uchawi wake, nifah kma the great girl in jf mchangiaj sanatena demu,na emperor _____
Oh asante mkuu.
 
BansenBurner, post: Bwana @K 4 REAL huyu jamaa ni noma kaonesha kua adi wajinga wananafasi yao katika jamii[/QUOTE

UWIIII! UMENICHEKESHA MNO @BUNSENBURNER, HUYU DOGO HATA NIKIONA POST YAKE SIHANGAIKAGI KUSOMA CONTENT, YAELEKEA ANA MTINDIO WA UBONGO SI BURE!
 
Kuna huyu jamaa anaitwa KikulachoChako , ana coments zilizojaabusara ya hali ya juu sijawahi kukuta amecomment ovyo ovyo au kwa kejeli.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
MUSSA ALLAN kuna kipindi nilimchukia aliposapoti uccm but alipogeuka na kusema ukweli nilimkubali aliona mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…