Mshaurieni Lowasa akae kimya tu...anapoteza hela za bure......Anaelekea kwenye foleni ya akina Cheyo na Mrema
Heri ya mwaka mpya kwako pia mkuuWana JF wote wamenivutia kwa michango na mada zote kwenye majukwaa tofauti..
Nyote kheri ya Mwaka Mpya
Shemeji upo?Shemeji nielekeze njia hiyo hiyo
Heri ya mwaka mpya wanajf wote. Kuna mdau anaitwa @MALCOM LUMUMBA. Post zake zinanipa raha sana.
Asante sana mkuu,kheri ya mwaka mpya 2016.
Ina maana ni mujinga ngoja nimtafute Maana kuna Mahali niliona wamecomment ana iq kubwa heeeeeeeBwana @K 4 REAL huyu jamaa ni noma kaonesha kua adi wajinga wananafasi yao katika jamii