MwanaJF gani unadhani alitajwa kwenye Biblia na sasa anatrend humu ndani?

MwanaJF gani unadhani alitajwa kwenye Biblia na sasa anatrend humu ndani?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mshana jr - huyu ndio yule mganga Mkuu wa farao kabisa biblia haikumuacha mbali uganga wake wa mchongo ulimtokea puani mbele ya fimbo ya Mussa.

Bujibuji Nyanaume - huyu kwa kupenda papuchi ni kama mfalme Sulemani yeye ishu za kugegeda lazima atie maguu humu

Pasco mayalla - Kwa maslahi mapana ya taifa ni yule mzee alikuwa anazunguka kumshitaki YESU kila anapoenda hadi alihakikisha anapigwa hukumu kali kwa maslahi ya dola ya Rumi.

Tindo - huyu ni Tomaso mbishi kila uzi anataka picha ,yeye uzi kama hakuna picha hakubaliani.

Ell - Huyu jamaa kwenye biblia kama Yuda kwenye pesa yupo ilimladi tu pesa ipo.

Miss natafuta - Huyu ni mama msamalia uliyekuwa anataka kumdanganya yesu kuwa hapigwi kimasiala akaumbuliwa akapewa maji kama Kawa

Lucas mwashambwa - akaiberehere kama wale mamajusi watabili nyota kushabikia vitu ambavyo hana manufaa navyo

Ongeza list maana maisha tunayoishi sio mageni ni yaleyale tu


USSR
 
Miss natafuta - Huyu ni mama msamalia uliyekuwa anataka kumdanganya yesu kuwa hapigwi kimasiala akaumbuliwa akapewa maji kama Kawa[emoji23]
 
Back
Top Bottom