[emoji24][emoji24][emoji24] Hakika tunatembea na kifo. Jamaa alikua hana makuu na mtu. Pumzika kwa amani rama.Exactrly kweli unamfaham. Last week alikua kwenye project zake Iringa. Serious bro. Huwez amini ila ndio ivyo anategemewa huzikwa leo saa nne asbh nyumbani Kwao Kilwa.
Duh, Apumzi Kwa Amani...Mungu awafanyie wepesi Watu wake wa karibu kwenye kipindi hiki kigumu.Mwenyewe
Kumbe una gari?Kuanzia leo, nimekoma na nitauzingatia sana huu ushauri.
Wife amekua akinikataza sana matumizi ya bodaboda, na wakati mwingine amekua akinisisitiza kupanda daladala kama naona gari yangu inamatatizo.
Oh jamani [emoji26]Msiba ulikua Tandika -Temeke -DsmView attachment 1571129
RIP, vp mkuu alikuwa yeye ndio dereva au alikuwa kama abiria embu weka ufafanuzi kidogoHabari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.
Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.
Ndio mkuu, nina gari babe...[emoji39]Kumbe una gari?
Pole sana kwa wanafamilia wa JF, ndugu na jamaa. Alale vyema RTHabari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki.
Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli zake hizo. Lakini all in all kazi yake mola haina makosa. Chini ni baadhi ya kazi zake alizowahi kuzifanya wakati wa uhai wake.
Kama kuna mtu una connection nae au mnafahamiana (mtu wa watu) ni rahisi kutangazwa ila kama unaishi yale maisha ya man alone. Hapo sidhanR.i.p kamanda,.najiuliza hv leo hii nikifa mimi nitatangazwa kweli? Au ili nije nitangazwe nifanyeje?
Zalisha bidhaa/huduma zenye kugusa maisha ya watu.R.i.p kamanda,.najiuliza hv leo hii nikifa mimi nitatangazwa kweli? Au ili nije nitangazwe nifanyeje?