Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wana Jf,
Kwanza hii ni Friday night, hivyo mara moja moja let's socialize and take it easy with threads za light touch.

Declaration of Interest
Naomba kuanza hii thread kwa kukiri kuwa "the most powerful person on earth is a woman!", hata Adam, aliyefinywagwa na Mungu mwenyewe, akaambiwa na Mungu mwenyewe, "hiki usifanye", "usile tunda la mti wa katikati" "ukila utakufa!", lakini Adamu alipokuja kushawishiwa na mwanamke Eva, tule!, Adam alikula, na wote wakaangamia!. Hakuna any man strong enough anayeweza kushinda "the strength of a woman".

Hata mtu aliyeelezwa kuwa na nguvu kuliko binadamu wote aliitwa Samson, Nate na miguvu take yote was nothing mbele ya mwanamke mrembo Delilah, hivyo na mimi naomba kukiri kuwa, hata mimi, mbele ya wanawake, niko very weak, hivyo leo nimejikuta nalazimishwa kuangalia Wasafi TV, live ikonyesha birthday ya mnyange mlimbwende Wema Sepetu, ikitangazwa live kutoka Mlimani City, na nimelazimishwa kuangalia by non other than a woman!, kiukweli wanawake wana power na command!.

Hivyo katika kufuatilia sherehe hiyo, ndipo nikamuona mwana jf mwenzetu, ambaye ni Naibu Waziri akitinga kwenye red carpet, na kiukweli ametokelezea kwa kupendezea na gauni lake la rangi ya Chanikiwiti.

Jee kuna ubaya wowote, kumsifia mwana jf mwenzetu, ukimuona mahali ametokea na ametokelezea?.

Macho yameona, nimeamua kukiri amependezea!, hongera mwana jf mwenzetu na hilo gauni lako la Chanikiwiti.

Naomba msiniulize ni nani na wala msiulizie picha, wewe jua tuu ni mwana jf mwenzetu ambaye ni naibu waziri, amehudhuria hafla birthday ya mnyange mlimbwende Wema Sepetu, huku amevalia gaining lake la rangi ya Chanikiwiti, amependeza, ametokelezea.

Nawatakia Furahi Dei njema.

P.
 
Kumbe mkuu na wewe ni mbea hivi?
 
Kwamba mkuu umemzimia Juliana Shonza basi sawa.
 
Pole sana mkuu, sasa kwahiyo umemtumia na yeye kameseji umwambie nakuona hapa mkuu nakupa HY tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Picha mkuu,habari bila picha inakuwa kama ushigongo
 
Paskali Brother, naandika hii comments nikiwa na hasira sanaaaaa.

Wewe ni mkongwe na tunakuheshimu sana hapa JF na michango yako inaheshimika sana.

Ila thread za aina hii bila picha ni kama dera bila chura (@behaviorist) na inakuwa ni kanzu sasa.

Kwa hio nikuulize tu brother.

Ukipigwa ban utalaumu?

Tafadhali nenda kaweke picha pale juu

Ni hayo tu sina jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…