Mwanajf, Naibu Waziri, Ahudhuria Birthday Wema Sepetu, Mlimani City, Avalia Gauni la Rangi ya Chanikiwiti, Apendeza!, Atokelezea!

Ukitafakari zaidi kwenye hii phrase hapa kwamba "Men have muscles but women have real powers" utaelewa kwa haraka maandishi ya mkuu Pascall kwanini anakiri ameshindwa kuruka kiunzi cha kuanzia nyumbani kwake ambapo kashinikizwa na mwanamke kuangalia wasafi TV na sio CNN kipindi akipendacho cha Amanpour.

Ukienda deep zaidi na kusikiliza wimbo wa shaggy ule "strength of a woman" utazidi kuielewa zaidi concept ya Pascall. Shaggy yeye lyrics yake ya kwanza kabisa kwenye huo wimbo tajwa ulipokea povu la kutosha kutoka kwa wafia Dini pande zote Duniani.. Kwa shaggy kuimba kwamba
"It's so amazing how this world was made
I wonder if GOD is a woman" yaani anashangaa jinsi Dunia ilivyoumbwa kwa muktadha wa wanawake kupewa nguvu na mamlaka kiuumbaji hivyo anahisi kwamba hata Mungu Wenda nae ni mwanamke"

Mstari huu uliibua ubishani kwa wale wanaoamini Mungu ni wa kiume ila shaggy yeye alihisi Mungu anaweza kuwa wa mwanamke maana ana nguvu flani hivi more spiritual rather than physical tuliyonayo sisi wanaume, hivyo kwake mwanamke alikuwa anaqualify kuwa na uungu ndani mwake kuliko mwanaume... Huyu ni shaggy humo kwenye wimbo wa strength of a woman kasema mengi sana yakufikirisha juu ya nguvu ya mwanamke. Ukipata nafasi isikilize kwa wakati wako.

Mkuu pascall, Maandishi yako haya siyachukulii kama udaku wala gossips bali nayachukulia kama ukomavu wa kuelewa mambo magumu kwamba licha ya wewe kama mwanaume kuwa na mamisuli lakini bado unatambua wanawake wanakuzidi nguvu... Hiyo nguvu wengi hawaioni na pia hata wale waliokuwa charismatic, favoured and blessed from the most high hawakuweza kubakizwa salama na nguvu ya kike sababu hawakuiona kwa macho it takes someone genius, sophisticated with supernatural powers as Pascal to feel and appreciates that strength of a woman.

Mimi nimekuelewa Pascal ila wengi hawajakuelewa, Hivyo povu lao kuja kwako haliepukiki.
 
Wewe ni pimbi
 
CC; Wakudadavua
 
Maisha yana pande mbili huzuni na furaha (burudani).Paschal Mayala nae ni binadamu sioni kitu cha ajabu kupost habari hii ya burudani .Sasa nyie mnataka kila siku azungumzie siasa wakati hao wanasiasa wennyewe ukienda Dodoma ,wamejazana kibao Maisha Club na 84 club wanaruka debe wazee kwa vijana.Maisha ukiyachukulia serious unaweza ukarukwa na akili kwani akili inahitaji refreshment na refreshment zenyewe ndio event kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…